EdLinkUp
Hery Yuda · news · 13 Oct 2023 06:40
public

Ndugu Mzazi/Mlezi Tunakujulisha kuwa visiting Day ya form five itakuwa ni tarehe 15.10.2023 siku ya JUMAPILI saa 4.00 asubuhi Msalabani na siyo 14.10.2023 Jumamosi kama ilivyokuwa imepangwa awali. Mabadiliko haya yametokana na sababu zilizo nje ya uwezo

academic

👍 1💬 1↗ 0

Comments

Monica Yesaya 2023-10-23 01:20:19

Am sorry sir,mimi ni mzazi wa David Kiguhe form two nataka kujoin edlink lakini nimekutana na mashule mengi huku am confused